Ecclesiastes 5:12-14


12 aUsingizi wa kibarua ni mtamu,
awe amekula kidogo au kingi,
lakini wingi wa mali
humnyima tajiri usingizi.

13 bNimeshaona uovu mzito chini ya jua: Utajiri uliolimbikizwa kwa kujinyima
na kuleta madhara kwa mwenye mali,

14 au utajiri uliopotea kwa bahati mbaya,
hivyo kwamba wakati akiwa na mwana
hakuna chochote kilichobaki kwa ajili yake.
Copyright information for SwhKC